Nenda kwa yaliyomo

Artashat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Monasteri ya Khor Virap na mlima Ararat.

Artashat (kwa Kiarmenia: Արտաշատ; kwa Kigiriki Artaxata: au Ἀρτάξατα) ni mji uliopo kwenye eneo la Moto Araks katika bonde Ararat. Huo ni mji mkuu wa Mkoa wa Ararat nchini Armenia na ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Armenia. Leo hii Artashat ni moja kati ya sehemu ya miji ya kisasa nchini.

Jina la mji linatokana na lugha ya Kiirani ikiwa na maana ya “furaha ya Asha.”[1] Idadi ya wakazi wa mjini hapa imekadiriwa kuwa 35,100.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. (Armenian) Tiratsyan, Gevorg. «Արտաշատ» (Artashat). Soviet Armenian Encyclopedia. vol. ii. Yerevan, Armenian SSR: Armenian Academy of Sciences, 1976, pp. 135-136.

Soma zaidi

[hariri | hariri chanzo]
  • (Kifaransa) Arakelyan, Babken N. "Les fouilles d'Artaxata: Bilan Provisoire." Revue des Études Arméniennes. Volume 18, 1984, pp. 367–395.
  • (Kirusi) "Основные результаты раскопок древнего Арташата в 1970-73 гг." Patma-Banasirakan Handes. № 4, 1974.
  • Kigezo:Hy Yeremyan, Suren T. Հայաստանը ըստ «Աշխարհացույց»-ի (Armenia According to the Ashkharatsuyts). Yerevan, Armenian SSR: Armenian Academy of Sciences, 1963.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Artashat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.