Arsennaria
Mandhari
Arsennaria ulikuwa ni mji wa kale wa Kirumi wa mkoa wa Kirumi wa Mauretania Caesariensis, Kaskazini mwa Afrika na makazi ya maaskofu wa kale wa Kanisa Katoliki.[1][2]
Mabaki ya mji
[hariri | hariri chanzo]Magofu ya mji yapo karibu na eneo la Bou-Râs katika Algeria ya sasa (36.334326n, 0.873111e). Mji wa ulipata umaarufu zaidi kati 330BC-AD640 Arsennaria flourished from 330BC – AD640.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pius Bonifacius Gams, Series episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig, 1931), p. 464.
- ↑ Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana, Volume I, (Brescia, 1816), p. 84.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Arsennaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |