Nenda kwa yaliyomo

Aralola Olamuyiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aralola Olamuyiwa (amezaliwa 23 Januari, 1975), anayejulikana kwa jina la kisanii Ara, ni mwimbaji wa kike, mburudishaji, mpiga ngoma, na balozi wa kitamaduni wa Ooni ya Ife.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aralola Olamuyiwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.