Nenda kwa yaliyomo

Antonin Gadal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antonin Gadal

Antonin Gadal (15 Mei 187715 Juni 1962) alikuwa mwanahistoria wa Ufaransa aliyetoa maisha yake kusoma historia ya Wakatari (Cathars) wa kusini mwa Ufaransa. Alijikita katika kuchunguza kiundani hali ya kiroho, imani, na itikadi zao.[1]

  1. "Antonin Gadal biography at GoldenRosycross.org". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.