Nenda kwa yaliyomo

Antoine Perel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antoine Perel

Antoine Perel (alizaliwa 9 Aprili 1986) ni mwanariadha mlemavu nchini Ufaransa ambaye alishirikia katika kitengo cha T12 kuruka kwa umbali mrefu,pentathlon na hafla za mbio.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoine Perel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.