Anthony Oseyemi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anthony Oseyemi
Amezaliwa Anthony Oluwakayode Oseyemi
Januari 17 1977
Uingereza
Kazi yake Mwigizaji,Mwandishi,mwanamuziki na mtayarishaji
Miaka ya kazi 2002 mpaka sasa

Anthony Oluwakayode Oseyemi (alizaliwa Januari 17 1977), ni MwingerezaMsauzi muigizaji mwenye asili ya Nigeria.[1] Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu ya teleseli Five Fingers for Marseilles, The Congo Murders and Isidingo. mbali na uigizaji pia ni mwandishi, mwanamuziki na mtayarishaji.[2]


Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa tarehe 17 Januari 1977 nchini Uingereza katika familia ya kinigeria. Baadaye alihamia Afrika Kusini, ambapo alipata Shahada ya Sanaa ya Uigizaji kutoka Chuo Kikuu cha North London. Alimaliza masomo ya shahada ya juu nchini Uingereza. Baada ya masomo hayo, alirudi Afrika Kusini na kuweka makazi yake huko.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Oseyemi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Anthony Oseyemi: Darsteller in Serien". fernsehserien. Iliwekwa mnamo 27 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "EXCLUSIVE Interview With Anthony Oseyemi". zkhiphani. Iliwekwa mnamo 27 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Anthony Oseyemi". MUBI. Iliwekwa mnamo 27 October 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)