Anthony Fauci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Anthony Fauci

Picha Rasmi(2007)

Aliingia ofisini 
November 2, 1984
Rais Kigezo:List collapsed
mtangulizi Richard M. Krause

tarehe ya kuzaliwa 24 Desemba 1940 (1940-12-24) (umri 80)
New York City, U.S.
ndoa Christine Grady (m. 1985–present) «start: (1985)»"Marriage: Christine Grady to Anthony Fauci" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Anthony_Fauci)
watoto 3
Military service
Awards

Anthony Stephen Fauci (alizaliwa 24 Desemba 1940) ni daktari wa Marekani na mtaalam wa kinga, ambaye ni mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Mizio na Magonjwa ya Kuambukiza (NIAID) tangu 1950 mpaka sasa. Tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, yeye ni mtu muhimu katika kikosi kazi cha kupambana na virusi vya Korona. Fauci ni mmoja wa wataalam bora kuhusu magonjwa ya kuambukiza, na mtaalm ambaye watu wanawaamini zaidi nchini Marekani.

Wakati Fauci alipokuwa daktari katika Taasisi ya Afya Taifa (NIH), yeye alihudumia afya ya umma ya Marekani kwa njia tofauti kwa miaka hamsini zaidi, na yeye alikuwa mshauri kwa kila rais baadaye Jimmy Carter. Fauci alisaidia utafiti kuhusu UKIMWI na pia magonjwa ya kuambukiza mengine wakati wa yeye alikuwa daktari na pia wakati wa yeye kuwa rais la NIH na NIAID. Toka Mwaka elfu moja mia tisa na themanini na tatu mpaka elfu mbili na mbili yeye, Katika majarida yote ya kisayansi, Fauci alitajwa zaidi kuliko wanasayansi wengine. Kwa sababu Dkt. Fauci alikuwa mchapakazi na mzuri sana, yeye alipewa tuzo ya Presidetnial Medal of Freedom na Rais George W. Bush ambayo ni tuzo bora zaidi amabalo raia la Marekani wanaweza kupata.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Fauci alizaliwa katika mji wa Brooklyn, Jiji la New York City, na wazazi Stephen A. Fauci na Eugenia Abys Fauci amabao walimiliki duka la dawa. Baba Anthony alisoma katika chuo kikuu cha Columbia na alisomea udaktari, Kwa hivyo wakati Baba Fauci alipofungua duka la dawa Mama Fauci na Dada yake walifanya kazi katika Bensonhurst, Baba yake alitengeneza dawa, na Anthony Fauci aliipeleka dawa. katika Dukani la dawa lililokuwa chini ya apatimenti ya familia yake, ambayo ilikuwa katika mji wa Dyker Heights Brooklyn.

Kazi yake[hariri | hariri chanzo]

Fauci na President George W. Bush wakati wa kupokea National Medal of Science 2007

Mwaka 1968 Fauci alijungua na Taasisi ya Afya Taifa (NIH) kuwa mshirika wa kliniki Maabara ya Kitafiti (LCI) katika NIAID. Miaka sita baadye yeye akawa mkuu wa sehemu ya fiziolojia ya kilinki, na miaka sita baadaye akawa mkuu, yeye alijiteuliwa mkuu wa maabara na mfumo wa kinga. Kisha miaka 4 baadaye akawa mkuu wa NIAID, ambaye leo bado ni Fauci. Kuwa Mkuu wa NIAID yeye anawajibika kwa utafiti wote, ambacho kina utafiti uliotumika kuhusu magonjwa ya kuambukiza na magonjwa yanayohusiana na chanjo. Wakati yeye alijipoulizwa kuwa mkuu wa National Institute of Health Dkt. Fauci alisema hapana, lakini leo yeye ni labda muhimu zaidi kuliko daktari katika Amerika.

Virusi vya Korona Kikosi Kazi[hariri | hariri chanzo]

Fauci alisema na White House bonyeza kuhusu COVID-19 Aprili 2020, kutazamwa na raisDonald Trump (kushoto) na makamu raisMike Pence (kulia)

Leo, Fauci ni mshiriki wa Kikosi Kazi cha Kupambana na Virusi vya Korona cha White House , ambacho rais Donald Trump alianza siku ya mwisho ya mwezi wa kwanza wa mwaka huu. Kikosi hiki kiliundwa kusaidia kuzuia kuenea kwa virusi na katika kikosi cha Fauci akawa mkuu msemaji wa afya ya umma, na hapa yeye alikuwa msaidizi hodari kwa Kimo Dhabiti na kuvaa barakoa ya usoni.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1985, Fauci alimuoa Christine Grady ambaye ni muuguzi na mtaalam wa biolojia katika NIH, na wao walikutana baada ya kusaidia mgonjwa. Grady ni mkuu wa Idara ya Maadili katika NIH, na Fauci na Grady wana wazima watoto watatu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: