Anil Joseph Thomas Couto
Mandhari
Anil Joseph Thomas Couto (alizaliwa Pomburpa, Goa, 22 Septemba 1954) [1] ni askofu mkuu anayehudumu katika Jimbo Kuu la Delhi.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa na. Avito Piedade Jose Couto na Ernestina Isabel Lobo e Couto.[2]
Joseph Coutts, Askofu Mkuu wa Karachi na kardinali, ni binamu yake wa kwanza. [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Anil Couto urges PM to introduce reservation for Christian Dalits", Zee News, 2015-02-17. (en)
- ↑ "Our Patron". www.rosaryschool.in. Iliwekwa mnamo 2017-08-25.
- ↑ Goan origin archbishop Joseph Coutts appointed cardinal by Pope. Its Goa.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |