Nenda kwa yaliyomo

Angela Bassett

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Angela Basset
Angela Bassett 2015 kwenye tamasha la San Diego Comic Con International huko mjini San Diego, California.
Angela Bassett 2015 kwenye tamasha la San Diego Comic Con International huko mjini San Diego, California.
Jina la kuzaliwa Angela Evelyn Bassett
Alizaliwa 16 Agosti 1958
Marekani
Kazi yake Mwigizaji.
Ndoa Courtney B. Vance (1997-)

Angela Evelyn Bassett (alizaliwa mnamo 16 Agosti 1958) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy na Academy, vilevile Tuzo ya Golden Globe akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kutoka nchini Marekani.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
  • F/X (1986)
  • Challenger (TV) (1990)
  • Kindergarten Cop (1990)
  • Hood (1991)
  • Critters 4 (1991)
  • City of Hope (1991)
  • Passion Fish (1992)
  • Innocent Blood (1992)
  • The Jacksons: An American Dream (1992)
  • Malcolm X (1992)
  • What's Love Got to Do with It? (1993)
  • Vampire in Brooklyn (1995)
  • Panther (1995)
  • Strange Days (1995)
  • Waiting to Exhale (1995)
  • Contact (1997)
  • Off the Menu: The Last Days of Chasen's (1997) (documentary)
  • How Stella Got Her Groove Back (1998)
  • Music of the Heart (1999)
  • Supernova (2000)
  • Whispers: An Elephant's Tale (2000) (voice)
  • Boesman and Lena (2000)
  • The Score (2001)
  • Sunshine State (2002)
  • The Rosa Parks Story (2002)
  • Unchained Memories: Readings from the Slave Narratives (2003)
  • Masked and Anonymous (2003)
  • The Lazarus Child (2004)
  • Mr. 3000 (2004)
  • Mr. & Mrs. Smith (2005) (voice only)
  • Akeelah and the Bee (2006)
  • Meet the Robinsons (2007) (voice)
  • Toussaint (2007)
  • Gospel Hill (2007)
  • Of Boys and Men (2007)
  • Meet the Browns (2008)
  • Nothing But the Truth (2008)
  • Notorious (2009)
  • Jumping the Broom (2011)
  • Green Lantern (2011)
  • This Means War (2012)
  • I Ain't Scared of You (2012)
  • Betty Coretta
  • Olympus Has Fallen
  • Black Nativity (2013)
  • White Bird in a Blizzard (2014)
  • Whitney (2015)
  • Curious George 3: Back to the Jungle (2015)
  • Survivor (2015)
  • London Has Fallen (2016)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angela Bassett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.