Nenda kwa yaliyomo

Andrew Huberman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrew Huberman

Andrew David Huberman (alizaliwa 26 Septemba 1975) ni mwanasayansi na mpodcaster Mmarekani.

Nukuu[hariri | hariri chanzo]

  • Dopamini ni kama sarafu inayohusika katika kuzalisha harakati zisizo za bahati nasibu na inahusika katika motisha na kutafuta malipo maalum.
  • ["#091 Andrew Huberman, PhD: Jinsi ya Kuboresha Motisha na Umakini kwa Kutumia Dopamini", kwenye FoundMyFitness, imepatikana kwenye DeepCast] (12 Juni 2024).
  • Nadhani mfumo wa elimu unapaswa kuanza, kwa maoni yangu, kwa kufundisha watoto jinsi ya kujielewa, nini cha kufanya katika hali ngumu kwa kutegemea nguzo halisi za biolojia na saikolojia, na kujaribu kuondoa siri katika kujaribu ku navigate shughuli ngumu za kukua.
  • ["LIVE EVENT Q&A: Dr. Andrew Huberman Maswali na Majibu huko Chicago, IL", kwenye Huberman Lab, imepatikana kwenye DeepCast] (13 Desemba 2023)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Huberman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.