Amnoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amnoni (kwa Kiebrania אמנון) alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli. Mama yake alikuwa Ahinoamu.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 3, mstari wa 2.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amnoni kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.