Ammar Belhani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ammar Belhani (alizaliwa 27 Oktoba 1971, huko Aïn El Kebira) ni mwanasoka mstaafu wa timu ya taifa Algeria.

Kazi Yake Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Desemba 5, 2000, Belhani alicheza kwa mara ya kwanza katika Timu ya Taifa ya Algeria na kutoka na ushindi wa 3-2 katika mechi ya kirafiki dhidi ya dhidi ya Romania.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ammar Belhani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.