Nenda kwa yaliyomo

Amir Batyrev

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amir Renatovich Batyrev (alizaliwa Machi 11, 2002) ni mchezaji wa Soka kutoka Kanada ambaye anacheza kama kiungo kwa timu ya Yenisey Krasnoyarsk ya Ligi Kuu ya Urusi kwa mkopo kutoka Sochi.[1]



  1. "Amir Batyrev Whitecaps profile". Vancouver Whitecaps FC.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amir Batyrev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.