Amina Mohamed Mgoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amina Mohamed Mgoo
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi anayoitumikiaTanzania Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa22 Julai 1998 Hariri
Mahali alipozaliwaTanzania Hariri
Kazilong-distance runner, cross country runner Hariri
Mchezolong-distance running, cross country running Hariri
Ameshiriki2017 IAAF World Cross Country Championships – junior women's race, 2019 IAAF World Cross Country Championships – senior women's race Hariri

Amina Mohamed Mgoo (alizaliwa 22 Julai 1998) [1] [2] ni mwanariadha wa mbio ndefu kutoka Tanzania. Alishiriki katika mbio za wakubwa za wanawake kwenye Mashindano ya Dunia ya IAAF ya mwaka 2019 yaliyofanyika Aarhus, Denmark. [2] Alimaliza katika nafasi ya 99. [2]

2017, alishiriki katika mbio za wanawake wachanga kwenye Mashindano ya Dunia ya IAAF ya 2017 yaliyofanyika Kampala, Uganda. [3] Alimaliza katika nafasi ya 68. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Amina Mohamed Mgoo". World Athletics. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-04. Iliwekwa mnamo 4 July 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 "Senior women's race". 2019 IAAF World Cross Country Championships. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 June 2020. Iliwekwa mnamo 27 June 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 "Junior women's race". 2017 IAAF World Cross Country Championships. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 13 December 2019. Iliwekwa mnamo 29 June 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina Mohamed Mgoo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.