Amiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Amiba jitu", Chaos carolinense.

Amiba (kutoka Kiingereza "amoeba"[1]) ni jamii ya vijidudu vidogo sana visivyoonekana kwa macho ambavyo huishi kwenye maji na kwenye udongo, lakini pia katika mwili wa viumbehai wengine, vikisababisha pengine maradhi mbalimbali.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "amoeba" Archived 22 Novemba 2015 at the Wayback Machine. at Oxforddictionaries.com

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amiba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.