Ameta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ameta.

Ameta (pia amita; kutoka Kiingereza "en:ammeter" ambayo ni kifupi cha "ampere meter") ni kifaa kinachotumika kupima nguvu ya mkondo wa umeme kwa vizio vya ampea.