Amar Shonar Bangla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amar Sonar Bangla" (kwa Kibengali: আমার সোনার বাংলা, lit. 'My Golden Bengal', inayotamkwa [amar ʃonar baŋla]) ni Wimbo wa Taifa wa Bangladesh. mashairi yake yaliandikwa na Rabindranath Tagore mwaka wa 1905.