Amélia da Lomba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maria Amélia Gomes Barros da Lomba do Amaral (hujulikana zaidi kama Amélia da Lomba au Amélia Dalomba; alizaliwa Cabinda, 23 Novemba 1961) ni mwandishi na mwanahabari wa Angola.

Historia[hariri | hariri chanzo]

De Lomba alihitimu masomo ya saikolojia katika nchi ya Urusi na baadae kurejea katika nchi yake ya Angola na na kufanya kazi kama muandishi wa habari alifanyakazi katika kituo cha radio cha Rádio Nacional de Angola Cabinda, na Jornal de Angola Luanda.[1] Da Lomba ni mwanachama wa umoja wa waandishi wa Angola (the Angolan Writers Union) katika lugha ya Kireno hujulikana kama União dos Escritores AngolanosUEA .[2]

Baadhi ya mashairi yake yamerekodiwa katika mfumo wa sauti.[3] mwaka 2005 raisi wa nchi ya [[Cape verde alimzawadia Lomba nishani ya Order of Vulcan [4][5] hadi sasa ni mtu pekee toka nje ya taifa la Cape Verde aliepata nishani hiyo

Kazi zake[hariri | hariri chanzo]

 • Ânsia, Poesia (1995)
 • Sacrossanto Refúgio (1996)
 • Espigas do Sahel (2004)
 • Noites Ditas à Chuva (2005)
 • Sinal de Mãe nas Estrelas (2007)
 • Aos Teus Pés Quanto Baloiça o Vento (2008)
 • Cacimbo 2000 (2000)
 • Nsinga - O Mar no Signo do Laço (2012), Mayamba[6]
 • Uma mulher ao relento (2011)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Amélia Dalomba (Portuguese). Infopedia.pt. Iliwekwa mnamo 5 October 2014.
 2. "Amélia da Lomba oferece 300 livros", Rede Angola Comunicação e Participações S.A., 13 June 2014. Retrieved on 8 October 2014. (Portuguese) 
 3. "Bengo: Escritora Amélia da Lomba oferece livros a crianças do Ambriz", Agência Angola Press, 11 June 2014. Retrieved on 7 October 2014. (Portuguese) 
 4. Amélia da Lomba (Portuguese). Federal University of Rio de Janeiro. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-10-22. Iliwekwa mnamo 8 October 2014.
 5. Embaixada de Cabo Verde atribui `medalha do vulcão` a Amélia da Lomba (pt). Angola Press (7 December 2005). Iliwekwa mnamo 10 September 2016.
 6. Escritora Amélia da Lomba realça tradição em "Nsinga" (pt) (20 January 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-09-17. Iliwekwa mnamo 2020-04-29.
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amélia da Lomba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.