Alta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa nyumba katika Manispaa ya Alta

Alta (kisami cha kaskazini: Áltá / Álaheadju, kifini: Alattio) ni manispaa na mji wa Finnmark, jimbo la Norwei.

Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.