Alphonse Areola
Jump to navigation
Jump to search
Alphonse Areola (alizaliwa 27 Februari 1993) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama golikipa wa PSG.
Mchezaji huyu alichezea Lens, Bastia na Villarreal kabla hajahamia PSG.
Areola alianza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka sita katika timu ya Entente Sportive na alitumia miaka saba kwenye klabu hiyo kabla ya kusaini na Paris Saint-Germain.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alphonse Areola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |