Alofoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Alofoni ni istilahi ya kifonolojia. Hasa ni kibadala ya fonimu katika mazingira fulani.

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alofoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

inaezekana fonimu moja ikaathirika kimatamshi kwa njia kadhaa.k.m lahaja ya kimvita /t/ ya ufizi ni /t/ ya me Alofoni ni maumbo mengi yanayowakilisha fonimu moja mfano neno heri na kheri alofoni h na kh huwasilisha mofimu H