Nenda kwa yaliyomo

Alick Nkhata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alick Nkhata (alizaliwa 1922 - 1978) alikuwa mwanamuziki na mtangazaji wa nchini Zambia mnamo mwaka 1950 hadi katikati ya mwaka 1970. Alick alikuwa mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa nchini Zambia (ZNBC) na kuunda Bendi ya Redio ya Lusaka baadae ilibadilishwa jina na kuitwa "Big Gold Six Band".[1] Bendi hii ilicheza na kuimba muziki wa asili ya nchini Zambia.[2][3]

  1. Big Gold Six
  2. Southern Africa: Nkhata's Contribution to Zimbabwean Music Significant; The Herald (Harare) 2007-09-12
  3. Musician, Songwriter, Broadcaster, Freedom Fighter, Kalindula, Banjo, Guitar. "Wikiwand - Alick Nkhata". Wikiwand. Iliwekwa mnamo 2023-02-26.{{cite web}}: CS1 maint: multiple names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alick Nkhata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.