Ali Azam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ali Azam (kuzaliwa 8 Agosti 1972)[1] ni mwanasiasa wa Bangladesh wa ligi ya Awami na Mbunge wa sasa kutoka Bhola.

Azam alihudumu kama mbunge wa kuchaguliwa mnamo 5 januari 2014 kutoka Awami nchini Bangladesh[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ali Azam -আলী আজম Biography". Amarmp (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-18. 
  2. "Ali Azam (Barisal politician)", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-12-31, iliwekwa mnamo 2022-07-18