Alexander Lukashenko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexander Lukashenko

Alexander Lukashenko(amezaliwa tar. 30 Agosti 1954, mjini Kopys) tangu mwaka 1994, Rais wa Belarus. Mgombea aliyefaulu katika chaguzi zote nchini Belarusi tangu 1994.