Alexander John Ellis
Mandhari
Alexander John Ellis FRS (14 Juni 1814 – 28 Oktoba 1890) alikuwa mtaalamu wa hisabati, mtaalamu wa lugha, na mwanafonetiki wa mapema kutoka Uingereza. Alikuwa na mchango mkubwa pia katika uwanja wa muzikolojia.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ John Hannavy (2008). Encyclopedia of Nineteenth-Century Photography. CRC Press. ISBN 978-0-415-97235-2.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alexander John Ellis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |