Nenda kwa yaliyomo

Alexander Arnold (mwigizaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alexander Arnold (alizaliwa tarehe 21 Desemba 1992) ni muigizaji, mwimbaji, na mwanamuziki kutoka Uingereza, anayejulikana zaidi kwa jukumu lake kama Rich Hardbeck katika tamthilia ya vijana ya E4 iitwayo Skins.[1]

  1. "The new Skins cast revealed - BBC Newsbeat". BBC News. 6 Agosti 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)