Nenda kwa yaliyomo

Alex North

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alex North
Amezaliwa Isadore Soifer
(1910-12-04)Desemba 4, 1910
Chester, Pennsylvania
Amekufa 8 Septemba 1991 (umri 80)
Los Angeles, California
Ndoa Gladlynne Sherle Treihart (1941-1966)
Annemarie Hoellger
Anna Sokoloff

Alex North (4 Desemba 19108 Septemba 1991) alikuwa mtunzi wa vibwagizo vya filamu kutoka nchini Marekani. Alitamba sana kwa kuwa alitunga kibwagizo cha jazz cha kwanza kinachotokana na (A Streetcar Named Desire) na ni moja kati ya watunzi wa kisasa wa kwanza kuandikwa katika Hollywood (Viva Zapata!).

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alex North kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.