Alchemy of Souls

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alchemy of Souls, ni kipindi cha televisheni kutoka nchini Korea Kusini kilichohusisha waigizaji kama Lee Jae-wook, Jung So-min, Go Youn-jung, na Hwang Min-hyun. [1] Tamthilia hii Imeandikwa na Hong sisters, inahusisha wachawi wanaoshughulika na mbingu na dunia. [2] [3] Ilianza kuonyeshwa mnamo tarehe Juni 18, 2022 hadi Januari 8, 2023, katika siku ya Jumamosi na Jumapili kwenye tvN saa. [4] Inapatikana pia kwenye TVING na Netflix katika baadhi ya maeneo . [5]

Tamthilia hii iligawanyika katika sehemu mbili: Sehemu ya Kwanza ilionyeshwa kuanzia Juni 18 hadi Agosti 28, 2022 ikiwa na vipindi 20, [6] huku Sehemu ya Pili ( Alchemy of Souls: Light and Shadow ) ilirushwa hewani kuanzia Desemba. 10, 2022 hadi Januari 8, 2023 ikiwa na vipindi 10. [7] [8]

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Sehemu ya Kwanza[hariri | hariri chanzo]

Imeigizwa katika nchi ya kufikirika iitwayo Daeho, ikihusisha mapenzi, upendo na ukuaji mamajusi wachanga wanaojitahidi kushindana na hatima zao potofu kutokana na uchawi uliokatazwa unaojulikana kama "alchemy of souls", uchawi huo unahusisha kubadili roho katika miili ya binadamu. [9] [10] [11]

Pia inahusisha historia ya shujaa wa kike ajulikanae kama Nak-su ambaye roho yake aliibadilisha katika mwili dhaifu wa Mu-deok kwa bahati mbaya. Nak-su anajichanganya na Jang Uk ambaye anatoka katika familia yenye hadhi, na anakua mtumishi na mwalimu wa Jang Uk, na kumfundisha Jang Uk ujuzi wa kichawi wake huku wote wawili wakipendana. [12] [13]

Sehemu ya Pili[hariri | hariri chanzo]

Hii inaonyesha miaka baada ya mkasa uliosababisha Mu-deok ( Nak-su) kukimbia na kuua watu wasio na hatia , mkasa huo uliotengenezwa na Jin Mu. Jang Uk, ambaye alirudi kutoka kwa wafu kutokana na Jiwe la Barafu lenye nguvu ndani ya mwili wake, anakuwa mwindaji mkatili wa watu wanaohamisha roho.Jung Uk anazidi kutengwa na kuogopwa na watu kutokana na nguvu zake kua nyingi kuliko mamajusi wengine katika nchi ya Daeho. Pia anakua mtu wa mawazo mengi na huzuni juu ya kifo cha mpenzi wake-Mu-deok. Kisha anakutana na mrithi wa ajabu wa Jinyowon, Jin Bu-yeon, ambaye anafanana na Nak-su. [14]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

    • a Seo Yul mchanga [15]
  1. Lee Da-gyeom (March 3, 2022). "'환혼', 이재욱·정소민·황민현·신승호 대세 배우 출연 확정" (kwa Kikorea). Maeil Business Newspaper. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 3, 2022. Iliwekwa mnamo March 3, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Pierce Conran (June 21, 2022). "Netflix K-drama Alchemy of Souls: Jung So-min, Lee Jae-wook in CGI-heavy fantasy action romance that offers a magical mix of genres". South China Morning Post. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo June 22, 2022. Iliwekwa mnamo July 14, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. ""Soul Marriage" Cancels Shooting, Staff Confirmed With COVID-19". HanCinema. The Fact. October 7, 2021. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 3, 2022. Iliwekwa mnamo March 3, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. Hong Se-young (May 13, 2022). ""정소민 색다른 매력 발견하게 될 것" (환혼)" (kwa Kikorea). Sports DongA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo May 13, 2022. Iliwekwa mnamo May 13, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  5. Lee Si-jin (June 15, 2022). "'Alchemy of Souls' promises to entertain with hybrid genre, unique setting". The Korea Herald. Herald Corporation. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo June 15, 2022. Iliwekwa mnamo June 16, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  6. Yoo Won-jeong (August 29, 2022). "이재욱×정소민 '케미' 활극…'환혼' 파트1이 남긴 3가지" (kwa Kikorea). No Cut News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo August 31, 2022. Iliwekwa mnamo August 29, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  7. Choi Hee-jae (October 19, 2022). "tvN 측 "'환혼' 파트2, 12월 10일 첫 방송" [공식입장]" (kwa Kikorea). Xports News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 19, 2022. Iliwekwa mnamo October 19, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  8. Hwang Su-yeon (January 9, 2023). "'환혼2' 이재욱♥고윤정 해피엔딩…완벽한 결말로 이뤄낸 유종의 미 [엑's 이슈]" (kwa Kikorea). Xports News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo January 11, 2023. Iliwekwa mnamo January 11, 2023.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  9. Pierce Conran (June 21, 2022). "Netflix K-drama Alchemy of Souls: Jung So-min, Lee Jae-wook in CGI-heavy fantasy action romance that offers a magical mix of genres". South China Morning Post. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo June 22, 2022. Iliwekwa mnamo July 14, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  10. Lee Ho-jae (December 26, 2020). "아이디어 떠오르면 자다가도 벌떡… 새 작품은 젊은 술사들의 사랑 다룬 판타지 사극" (kwa Kikorea). DongA Ilbo. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 3, 2022. Iliwekwa mnamo March 3, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  11. Lee Jae-lim (July 18, 2022). "[CELEB] Jung So-min's portrayal of youth is breath of fresh air". Korea JoongAng Daily. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo September 4, 2022. Iliwekwa mnamo September 8, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  12. Lee Si-jin (June 15, 2022). "'Alchemy of Souls' promises to entertain with hybrid genre, unique setting". The Korea Herald. Herald Corporation. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo June 15, 2022. Iliwekwa mnamo June 16, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  13. Lee Jae-lim (July 18, 2022). "[CELEB] Jung So-min's portrayal of youth is breath of fresh air". Korea JoongAng Daily. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo September 4, 2022. Iliwekwa mnamo September 8, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  14. Gong Young-joo (December 11, 2022). ""갑시다 서방님"...'환혼2' 고윤정, 여주 교체 후 4개월 만 첫방(종합)" (kwa Kikorea). YTN. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo December 18, 2022. Iliwekwa mnamo December 18, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  15. Kim Won-gyeom (May 19, 2022). "배우 문성현, FNC 전속 계약…tvN 새드라마 '환혼' 어린 서율 역 캐스팅" (kwa Kikorea). SpoTV News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo May 19, 2022. Iliwekwa mnamo May 19, 2022.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)