Albert Abraham Michelson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Albert Abraham Michelson
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Albert Abraham Michelson (19 Desemba 18529 Mei 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Tafiti zake ziliweka msingi kwa nadharia ya Albert Einstein (Relativity Theory). Pia aliboresha vipimo vya mwendo wa nuru. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Albert Abraham Michelson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.