Alama za Amani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alama ilitengeneza UIngereza ili kuzuia utumiaji wa silaha mnamo mwaka 1958. Hivi sasa ujulikana kama "Ishara ya Amani".

Idadi kadhaa ya Alama za Amani zimetumika kwa njia tofauti kwenye tamaduni mbalimbali  na muktadha. Njiwa na Tawi la mizeituni ilitumika kama alama kwa wakristo wa awali na badae kutumika kama ya kidunia, ikitangazwa na Dove lithograph na Pablo Picasso baada ya vita ya pili ya dunia. Mwaka 1950 “ alama ya Amani” kama inavyojulikana sasa kama ( Amani na upendo) ilitengenezwa na Gerald Holtom kama nembo ya kampeni ya  Uingereza ya kupunguza silaha za nyuklia (cnd).[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Michael Muir (2018-02-13). "The CND logo -" (kwa en-GB). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-13. Iliwekwa mnamo 2022-08-15.