Akiolojia ya Kisiwa cha Pemba
![]() | Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Kisiwa cha Pemba, ni kisiwa kikubwa cha matumbawe katika pwani ya Tanzania. Kisiwa hiki kinakaliwa na wabantu kutoka pwani ya Tanga kuanzia miaka ya 600 AD, kisiwa hiko kinautajiri mwingi katika biashara, kilimo na historia ya dini ambayo imechangia vikubwa kwenye biashara kupitia Bahari ya Hindi.




Ushahidi wa kwanza wa kukaliwa kwakwe ulikuwa ni katika karne ya Saba AD katika eneo lilioitwa Tumbe ndani ya wilay aya Micheweni ya kisiwa hicho.[1] Dara za kiisimu ka kiakiolojia zinaonyesha kuwa walowezi wa kwanza waliweza kuhama wakitokea bara.[2] Miji iliendelea kuanzishwa kuzunguka kisiwa hicho baada ya Tumbe, na mabaki ya kilimo na kauri kuonyesha kuwa watu wake walikuwa wakulima.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Fleisher, Jeffrey; LaViolette, Adria (2013-11-22). "The early Swahili trade village of Tumbe, Pemba Island, Tanzania, AD 600–950". Antiquity 87 (338): 1151–1168. . . http://dx.doi.org/10.1017/s0003598x00049929.
- ↑ (2003) East African archaeology: foragers, potters, smiths, and traders, 1. ed, Philadelphia: Univ. of Pennsylvania Museum of Archaeology and Anthropology. ISBN 978-1-931707-61-9.