Nenda kwa yaliyomo

Akaliza Keza Gara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akaliza Keza Gara ni mwanaharakati wa IT na mjasiriamali kutoka Rwanda. Anajishughulisha katika kukuza uwanja huo kwa wasichana na ametambuliwa kwa harakati zake na tuzo kutoka katika serikali ya Rwanda na muungano wa kimataifa wa mawasiliano.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Akaliza Keza Gara, Rwanda's ICT woman", The East African, 7 March 2014. Retrieved on 8 November 2017. (en-UK) 
  2. "Akaliza Keza Gara". kLab. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akaliza Keza Gara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.