Ajmān
Mandhari
Ajman (kwa Kiarabu: عجمان, 'Aǧmān) ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Uajemi. Ni pia jina la mji mkuu ambao una 90% ya wakazi wote na emirati.
Mtawala wake ni Sheikh Humaid bin Rashid Al Nuaimi (tangu 1981).
Utemi una wakazi 240,000 (2014) katika eneo la km² 260 tu.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Gulf Medical University - Official Website - [1]
- Ajman Government – Official website – Arabic
- Ajman Government – Official website – English
- Bank in Ajman Ilihifadhiwa 20 Septemba 2012 kwenye Wayback Machine.- rakbankdirect.ae
Magazeti ya Falme za Kiarabu
[hariri | hariri chanzo]- Gulf News
- Khaleej Times
- Emirates Today
- 7 Days Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Emirates Evening Post Ilihifadhiwa 7 Januari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Gulf Today Ilihifadhiwa 24 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ajmān kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |