Aisha Kyomuhangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aisha Kyomuhangi ni mwigizaji, mwimbaji na muandaji wa filamu kutoka Uganda.

Aliandaa filamu ijulikanayo kama Kigenya Agenya. Pia ni mwanachama wa Bakayimbira Dramactors, majo ya kikundi cha maigizo.[1][2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Aisha alikua akiyumbuiza kwa miaka 20. alishiriki kweny filamu ya ‘The Last King of Scotland’. Ni mwanamke maarufu katika mfululizo wa televisheni za ‘Byansi ,’The Honorables’ and ‘Mistakes Galz Do’ that airs on NTV na Pearl Magic. mwaka 2019,aliandaa filamu ya Kemi [3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-18. Iliwekwa mnamo 2020-10-17. 
  2. Kaaya, Sadab Kitatta. "Kazakhstan: one country, two continents". The Observer - Uganda (kwa en-gb). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-19. Iliwekwa mnamo 2020-09-28.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. https://www.ghmoviefreak.com/movie-review-kemi-the-final-tragedy/
  4. "Meet the Women Behind 'KEMI'- The Final Tragedy". Glim (kwa en-US). 2020-03-03. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-11. Iliwekwa mnamo 2020-09-28.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. Technologies, Buzen. "KEMI MOVIE PREMIERING 8TH MARCH 2020.". www.cinemaug.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-17. Iliwekwa mnamo 2020-09-28.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aisha Kyomuhangi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.