Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa michezo wa Ahmadu Bello

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ahmadu Bello Stadium)
Uwanja wa Ahmadu Bello wakati wa Sherehe Za Ufunguzi.
Uwanja wa Ahmadu Bello wakati wa Sherehe Za Ufunguzi.

Uwanja wa Ahmadu Bello pia hujulikana kama ABS unatumika kwa shughuli mbalimbali,upo jimbo la Kaduna, nchini Nigeria . ulijengwa mnamo mwaka 1965 na wasanifu wa Kiingereza jane Drew na Maxwell Fry. Kuanzia mwaka 2016, ulitumiwa zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. Uwanja huo una uwezo wa kustahimili zaidi ya watu 16,000[1] Uwanja huu unachumba cha ndani cha kufwatilia matangazo ya moja kwa moja. [2]

  1. https://www.theguardian.com/football/2016/mar/25/diaster-avoided-nigeria-egypt
  2. "Dare pledges to revive facilities, commends handlers of Ahmadu Bello Stadium". guardian.ng (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-27. Iliwekwa mnamo 2020-12-21.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ahmadu Bello kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.