Nenda kwa yaliyomo

Agripa II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Agrippa II alivyochorwa na Guillaume Rouillé katika Promptuarii Iconum Insigniorum mwaka 1553.
Mtume Paulo Hukumuni kadiri ya Nikolai Bodarevsky, 1875. Agripa na dada yake Berenike wakimsikiliza Mtume Paulo akijitetea.

Agripa II (jina kamili: Marcus Julius Agrippa; 27/28 - 92 au 100) ndiye mfalme wa 7 na wa mwisho kutoka ukoo wa Herode Mkuu. Alikuwa mtoto wa Herode Agripa.[1]

  1. Mason, Charles Peter (1867), "Agrippa, Herodes II", katika Smith, William (mhr.), Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology, juz. la 1, Boston: Little, Brown and Company, uk. 78

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agripa II kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.