Nenda kwa yaliyomo

Afrikan Boy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Olushola Oluwaseun Ajose, anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Afrikan Boy (aliyezaliwa 28 Machi 1989), ni msanii mzaliwa wa Nigeria anayeishi kwa sasa wilaya ya Woolwich ya London.[1]

  1. "Afrikan Boy". Drowned in Sound. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-03-03. Iliwekwa mnamo 2008-03-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afrikan Boy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.