African Sauce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

African Sauce (Mchuzi wa Kiafrika) ni albamu ya nne ya bendi maarufu kutoka nchini Kenya Sauti Sol, iliyotolewa kwenye lebo yao Sauti Sol Entertainment.[1][2] Kimsingi albamu yao ya mchuzi wa kiafrika iliashiria kuondoka kwa sauti za asili kulinganisha na albamu zao zilizo tangulia. Imewashilikisha wasanii kama Patoranking, Tiwa Savage, Burna Boy, Vanessa Mdee, Yemi Alade, Khaligraph Jones, Nyashinski, Bebe Cool, Mi Casa, Toofan, Jah Prayzah and C4 Pedro.[3] Albamu ina nyimbo 13 zikiwemo nyimbo zilizotolewa awali kama "Melanin", "Girl Next Door", "Afrikan Star", "Short N Sweet" and "Tujiangalie".[4]

Kuhusu albamu[hariri | hariri chanzo]

Sauti Sol walieleza albamu hiyo kama mradi wa "mabadilishano ya sanaa na kitamaduni" na walisema itatoka mwishoni mwa mwaka 2017, kumbe ilitoka mwaka 2019.[5] Pia walitangaza malengo yao ya kuachia nyimbo na wasanii tofauti tofauti wa Afrika kila mwezi.[6] Hata hivyo malengo yao haya kutimia kutokana na vikwazo vya kifedha.[7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-25. Iliwekwa mnamo 2022-08-10. 
  2. https://www.okayafrica.com/sauti-sol-afrikan-sauce-new-album-listen/
  3. https://www.okayafrica.com/sauti-sol-afrikan-sauce-new-album-listen/
  4. https://www.okayafrica.com/sauti-sol-afrikan-sauce-new-album-listen/
  5. "Not Enough Sauce on Sauti Sol's 'Afrikan Sauce' Album". Tangaza Magazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-08-10. 
  6. "Not Enough Sauce on Sauti Sol's 'Afrikan Sauce' Album". Tangaza Magazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-08-10. 
  7. "Sauti Sol reveal financial constraints have affected their 2018 plans - The Sauce". www.capitalfm.co.ke. Iliwekwa mnamo 2022-08-10.