Nenda kwa yaliyomo

Adré

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adré ni mji uliopo katika mkoa wa Wadai nchini Chad.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 15,361 [1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Adré kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.