Adnan Nawaz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nawaz, 2014

Adnan Nawaz ni mtangazaji habari za michezo, anayefanya kazi kwa BBC. Yeye amewahi kutangaza kwa BBC News, nchini Uingereza, na BBC World News tangu mwaka 2001.[1] Alijiunga na BBC News mwaka 2000. Yeye pia amekusanya michezo mingi zaidi ya juu ya meza ikiwemo timu ya Hamilton Academicals 1972 ambayo ni nadra sana kupata.

Alianza kazi kwa BBC mwaka 1994, kama mtangazaji msaidizi pande za Amerika ya Kusini akiwakilisha BBC World Service. Yeye alihamia BBC Radio, ambapo alikuwa mtayarishaji na mwandishi wa habari za michezo.

Adnan amesafiri kwingi, na amewahi kuishi nchini Filipino, Italia, Uingereza, Marekani, Ufaransa na Chile. Yeye anaongea lugha tano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Adnan amezaliwa nchini Pakistan, na kumaliza katika shule ya London School of Economics akipata shahada katika Uchumi na Uhusiano wa Kimataifa na akamilisha shahaada yake ya pili katika Siasa za Amerika ya Kusini kwenye Chuo Kikuu cha London.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]