Adhir Kalyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adhir Kalyan
Amezaliwa Adhir Kalyan
4 Agosti 1983
Durban, Afrika ya Kusini
Nchi Durban, Afrika Kusini
Majina mengine Timmy
Kazi yake Mwigizaji
Mwenza Emily Wilson
Watoto 1
Wazazi Sandy Kalyan
Muundo au mpangilio wa makala hii hailingani na masharti ya makala ya wikipedia. Inahitaji kuangaliwa upya.

Angalia mpangilio wa maandishi yake, umbo la vichwa na viungo ndani yake. Isipopangiliwa upya makala inaweza kufutwa.


Angalia ukurasa wa majadiliano! (Kibonye cha pili hapo juu kwenye dirisha hili)

Adhir Kalyan (amezaliwa 4 Agosti 1983) ni mwigizaji wa Afrika Kusini anayetajwa kwa uhusika wake kama Timmy kwenye filamu ya CBS (sitcom) ambayo ni mfululizo wa vipindi vya runinga (Rules of Engagement (TV series) na kama Awalmir Karimi kwenye United States of Al.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Kalyan alizaliwa Durban, Afrika Kusini, kwaye familia ya wahindi wa Afrika kusini. Mama yake, Sandy Kalyan alikuwa mbunge katika Bunge la Kitaifa la Afrika Kusini, ambapo aliwakilisha Muungano wa Kidemokrasia.[1] Kalyan alimaliza masomo yake huko Marklands Durban. Kabla ya kuhamia nje ya nchi, alitumbuiza katika maonyesho kadhaa huko Afrika Kusini, ni pamoja na maonyesho ya Charles Dickens, Oliver Twist na A Christmas Carol.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Adhir Kalyan". CWTV. Iliwekwa mnamo 2010-03-30.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adhir Kalyan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.