Nenda kwa yaliyomo

Adelaïde Charlier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Adelaïde Charlier
Adélaïde Charlier
Amezaliwa9 Disemba 2000
Kazi yakemwanaharakati wa Ubelgiji


Adélaïde Charlier (alizaliwa 9 Disemba 2000) ni mwanaharakati wa Ubelgiji [1] anayepambana kwaajili ya hali ya hewa na haki ya kijamii.[2] Alianzisha harakati ya Vijana kwa Ajili ya Hali ya Hewa nchini Ubelgiji. [3]Anajulikana hasa kwa ushiriki wake katika kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa. Iliyoongozwa na vitendo vya Greta Thunberg, Yeye ni mmoja wa watu wanaoongoza, pamoja na Kyra Gantois na Anuna De Wever, Ya mgomo wa kwanza wa shule kwa ajili ya hali ya hewa nchini Ubelgiji.[4]


Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Adélaïde Charlier alizaliwa Disemba 9, 2000, mji wa Namur. Mnamo 2018, Adélaïde Charlier ni mwanzailishi wa harakati ya Vijana kwa ajili ya Hali ya Hewa nchini Ubelgiji kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha vijana kuchukua hatua dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tangu wakati huo, ameandaa maandamano na migomo kadhaa ya hali ya hewa na amekuwa akishiriki katika vyombo vya habari kuzungumzia mabadiliko ya hali ya hewa na haki ya kijamii.[5] Kati ya 2018 na 2019, akawa mwakilishi wa Ubelgiji anayezungumza Kifaransa kwa Amnesty International. [6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. @RTLFrance (Machi 7, 2019). "Climat : "Les vieux ont agi mais pas suffisamment, ils n'ont pas compris l'urgence dans laquelle on se trouve. Nous, on se sent la liberté de crier cette urgence", explique @adelaidecharli2, 18 ans, co-organisatrice belge de la vaste opération hebdomadaire #YouthForClimate" (Tweet) – kutoka Twitter. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |dead-url= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Think we should be at school? Today's climate strike is the biggest lesson of all | Greta Thunberg and others". (en-GB) 
  3. "Adélaïde Charlier". Les Napoleons (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-20. Iliwekwa mnamo 2020-03-20.
  4. "Adélaïde Charlier". Open Government Partnership (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-03-20.
  5. "Belgian climate leaders Anuna De Wever and Adélaïde Charlier will not make it to Madrid". The Brussels Times (kwa Kiingereza). 2020-03-20. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-20. Iliwekwa mnamo 2020-03-20.
  6. "Anuna De Wever et Adélaïde Charlier sont de retour en Belgique, après plus de trois mois en Amérique du Sud". RTBF Info (kwa Kifaransa). 2020-01-20. Iliwekwa mnamo 2020-03-20.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adelaïde Charlier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.