Adebayo Adigun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adebayo Adigun (alizaliwa 15 Novemba 1990) ni mchezaji wa zamani wa kandanda nchini Nigeria. Adigun alianza kazi yake akiwa na klabu ya Shooting Stars F.C.[1] na kutia saini tarehe 6 Desemba 2009 mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Ligi ya J1 Kashiwa Reysol.[2]Baadaye Adebayo Adigun alistaafu soka mwaka 2017.

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Adigun ni Mtoto wa mchezaji wa zamani wa kimataifa klabu ya wa Bunmi Adigun.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adebayo Adigun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.