Nenda kwa yaliyomo

Adam Gemili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adam Gemili akikimbia mita 200 katika fainali za Olimpiki 2016

Adam Gemili (alizaliwa Oktoba 6 1993)[1], ni mwanariadha kutoka nchini Uingereza,ni mshindi wa michuano  ya ulaya ya mwaka 2014 katika  mbio za mita 200 na mita 4 x 100 ya kupeana vijiti ,Lakini pia ni sehemu ya Timu ya Uingereza iliyo shinda Medali ya dhahabu mnamo mwaka 2017 katika mashindano ya dunia.

Alikuwa mwanariadha Mwingereza wa  kwanza kushiriki mashindano ya mita 100 ya vipande kumi na ya  mita 200 ya vipande ishirini[2].

Aliwahi kupata medali ya fedha katika mita 100 na mita 4 × 100 ya kupeana vijiti mwano mwaka 2014 katika michezo ya Jumuia ya madola. Gemili pia aliwahi kuwa bingwa wa zamani wa Dunia kwa vijana katika mita 100 na michezo ya uingereza ya wenye umri wa chini ya miaka 23 katika mita 100 na 4 × 100.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Adam Gemili". www.teamgb.com (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-09-25.
  2. "Gemili runs his first sub-10 100m", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2021-09-25
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Gemili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.