Action Concept

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo ya Action Concept.

Action Concept Film- und Stuntproduktion GmbH ni kampuni ya filamu kutoka nchini Ujerumani. Inashughulika hasa mambo ya stant na aksheni. Kampuni ilianzishwa mnamo mwaka wa 1992 ikiwa na na waajiriwa wapatao 150 na biashara ya Euro milioni 40 kwa mwaka. Ilijipatia sifa kwa ajili ya stant katika filamu za TV za Kijerumani. 2003 kampuni ilipewa tuzo ya World Stunt Award kwa kazi yake katika filamu za series "Wild Angels" kwa "stant bora ya filamu isiyo ya Kiingereza“. Ilipata pia Taurus Awards kwenye miaka ya 2004, 2005 na 2007. Kampuni inafundisha waigizaji wa STUNT ikiendesha kozi zake yenyewe.

mifululizo ya TV[hariri | hariri chanzo]

filamu za TV[hariri | hariri chanzo]

filamu za sinema[hariri | hariri chanzo]

majarida ya TV[hariri | hariri chanzo]

  • Europe's Greatest Stunts (2006)
  • The Big Screen (2005)
  • und action... – Action- und Spotmagazin aus dem Spessart (2005)
  • Stuntteam (1994)

filamu ya maelezo[hariri | hariri chanzo]

  • Action Concept – Action Made in Germany (2003)

Video ya Muziki[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Action Concept kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.