Acapulco, Guerrero
Mandhari
Jiji la Acapulco | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Guerrero |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 717,766 |
Tovuti: Acapulco, Guerrero |
Acapulco (Jina rasmi: Acapulco de Juárez) ni mji mkubwa katika jimbo la Guerrero mwenye wakazi 717,766. Ni pia bandari kuu ya nchi.
Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii.
Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1530.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Acapulco, Guerrero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |