Nenda kwa yaliyomo

Abuye Meda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abuye Meda ni mlima unaopatikana karibu na mji wa Debre Birha nchini Ethiopia. Mlima Abuye Meda una mwinuko mkali kuliko milima yote ndani ya kanda ya Shewa kaskazini katika mkoa wa Amhara.

Mlima huu una mwinuko unaokadiriwa kuwa mita 4,012 / futi 13,163, pia ni sehemu ya mgawanyiko kati ya mabeseni ya maji ya Mto Abay na Mto Awash.[1]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Abuye Meda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.