Absalomu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Absalomu (kwa Kiebrania אבשלום) alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli. Mama yake alikuwa Maaka.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, kwa mfano sura ya 3, mstari wa 3.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Absalomu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.