Abla Kamel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muundo au mpangilio wa makala hii hailingani na masharti ya makala ya wikipedia. Inahitaji kuangaliwa upya.

Angalia mpangilio wa maandishi yake, umbo la vichwa na viungo ndani yake. Isipopangiliwa upya makala inaweza kufutwa.


Angalia ukurasa wa majadiliano! (Kibonye cha pili hapo juu kwenye dirisha hili)
Abla Kamel Mohamed Afifi
Kazi yake Mwigizaji
Ndoa Mahmoud El Gendy

Abla Kamel Mohamed Afifi Ni mtu wa asili ya Nikla Al Inab huko Beheira Governorate , Abla Kamel alihitimu kwenye chuo cha sanaa cha "aculty of Arts" mnamo mwaka 1984 na alianza kipaji chake kwenye Maonyesho ya Vanguard alikuwa wa kwanza kushiriki mono drama, heart health centers, pamoja na Mohamed Sobhi. Alieolewa na Ahmad Kamel walibahatika kupata mabinti wa kike wawili na baadae aliolewa tena na muigizaji Mahmoud El Gendy. [1][2][3]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Uhusika
1982 Iftah ya simsim Khoka
1983 alshahd waldmo3 1988 Yom mor... yom helw
1990 Iskanderija, kaman oue kaman
1993 Sawwaq el hanem
1994 Sarek al-farah
1996 Hysteria
1996 Lan a3isha fi jilbabi abi
1998 Arak el-balah
1999 El Medina Bannoura
2002 El-Limby Faransa
Ayna qalbi Wesal
2003 Elly baly balak Doctor
Kallem mama
2004 Khalty Faransa Faranca
Eish ayamak Nahed
2005 Sayed El Atefy Hanifa
Raya wa Sekina Raya
2006 Al-andaleeb hikayt shaab Aliya Shabana
2020 The Knight and the Princess[4]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Has Egyptian actress Abla Kamel retired? | Arab-celebs – Gulf News
  2. نجوم الفن يطالبون بتكريم عبلة كامل في مهرجان القاهرة السينمائي | فن | الجزيرة نت (aljazeera.net)
  3. نقيب الفنانين يكشف سر اختفاء عبلة كامل | صحيفة الخليج (alkhaleej.ae)
  4. Essam, Angy (8 March 2020). "LAFF to screen 'The Knight & The Princess’ on Mar.8". Egypt Today. Iliwekwa mnamo 8 April 2020.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abla Kamel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.