Nenda kwa yaliyomo

Abigail Borah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Todd Stern katika COP18 huko Doha, 2012

Abigail Borah ni mwanaharakati wa mazingira wa Marekani ambaye alipinga hoja ya Todd Stern katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi mnamo mwaka 2011.

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Abigali alisoma shule ya School of the Sacred Heart huko Florida. Alipokuwa akisoma, alijiunga na taasisi ya SustainUS, ambayo ilimchagua kuhudhuria kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi mnamo mwaka 2010 huko Cancun (pia unajulikana kama COP-16.)

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abigail Borah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.